Happy Anniversary Chairman....miaka 3 sio rahisi bila uongozi wa Mola
Ilikuwa tarehe 6/5/2012 katika kanisa la Waadventista Wasabato Temeke-Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kikundi cha HGS-Kigamboni alifunga ndoa, Mungu amjalie maisha marefu katika safari hiyo na hongera kwa kufikia miaka 3 ya ndoa.
No comments:
Post a Comment