Kuanzia leo utapata historia kwa ufupi ya waimbaji wa Kikundi cha HGS
Anaitwa Lisso Ibrahim Biseko Ana umri wa miaka 33 Alianza kama mdau wa kikundi cha HGS, ambapo kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa kuwa M/Kiti wa Kikundi hiki Ameoa Mke Mmoja Anaimba sauti ya 3.
No comments:
Post a Comment