Habari za Asubuhi
Kutana na Dr. J. Layaa.Sister Ester Muganda na M.G. Mwangi pamoja na wakufunzi wengine wengi katika mafunzo ya vijana kwa Siku ya Jumapili 29/3/15 na 30/03/15, kanisani Kigamboni.
Kwenye mafunzo hayo mada kemkemu zitawasilishwa na kujadiliwa,usipange kukosa ukisoma ujumbe huu hebu mpe habari
njema hii na kijana mwingine. Muda Utajulishwa
Ujumbe huu ni kutoka kwa uongozi wa kanisa Kigamboni
It is very interesting. But the event schedule has not been correctly dated.
ReplyDeleteBwana atukuzwe. Tarehe ya program hizo ni 5 April 2015 na 6 April 2015.
ReplyDelete