Tuesday, 31 March 2015

Ujumbe kutoka kwa Idara ya Vijana Kigamboni

Habari za Asubuhi
Kutana na Dr. J. Layaa.Sister Ester Muganda na M.G. Mwangi pamoja na wakufunzi wengine wengi katika mafunzo ya vijana kwa Siku ya Jumapili 29/3/15 na 30/03/15, kanisani Kigamboni.

Kwenye mafunzo hayo mada kemkemu zitawasilishwa na kujadiliwa,usipange kukosa ukisoma ujumbe huu hebu mpe habari
njema hii na kijana mwingine. Muda Utajulishwa

Ujumbe huu ni kutoka kwa uongozi wa kanisa Kigamboni

2 comments:

  1. It is very interesting. But the event schedule has not been correctly dated.

    ReplyDelete
  2. Bwana atukuzwe. Tarehe ya program hizo ni 5 April 2015 na 6 April 2015.

    ReplyDelete